JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

JKCI yaokoa milioni 600 upasuaji watoto 40

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dar es Salaam Jumla ya Sh milioni 600 zitaokolewa baada ya watoto 40 kufanyiwa kupasuaji wa moyo katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Shirika la Muntada Aid la nchini Uingereza. Gharama ya…

Tanzania yapasua anga huduma za mawasiliano

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Arusha Tanzania imekua na maendeleo makubwa ya huduma za mawasiliano kwa gharama nafuu mijini na vijijini kwa kufanikisha laini za simu milioni 72.5 Machi mwaka huu kutoka laini milioni 64.1 za Juni mwaka 2023 . Katika kipindi…

TAKUKURU yawahoji 11 kwa kuficha msaada wa chakula Rufiji, Kibiti

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Rufiji TAASISI ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) inawahoji Mtendaji wa kata, kijiji pamoja na vijana Tisa ambao ni wabeba mizigo (makuli) kwa madai ya kuficha chakula cha waathirika wa mafuriko Wilayani Rufiji na Kibiti…

Mhadhiri Chuo cha Utumishi wa Umma kortini kwa kuomba rushwa ya ngono

Aprili 25, 2024 katika Mahakama ya Wilaya ya Tabora, mbele ya Demetrio Nyakunga, Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Tabora, imefunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi Namba ECC. 10892/ 2024 ya Jamhuri dhidi ya Bw. Michael Fredrick Mgongo Mhadhiri katika…