JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Canada kuchangia mfuko wa afya wa pamoja ili Tanzania kufikia afya kwa wote

Na WAF – Dar es Salaam Serikalo ya Canada imeihakikishia Tanzania kuwa itaendelea kushirikiana pamoja katika kuboresha Sekta ya Afya ili kufikia malengo ya afya kwa wote huku huduma bora za afya zikiendelea kutolewa na kupatikana kwa uhakika. Hayo yameelezwa…

Watafiti watakiwa kuzingatia sheria za kufanya tafiti za afya

Na WAF – Dar Es Salaam Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amewataka watafiti wote nchini kuzingatia sheria na kanuni za tafiti za Afya ikiwemo kupata kibali kutoka NIMR pamoja na kuzingatia maslahi ya Taifa. Waziri Ummy ametoa agizo hilo leo…

NEMC latoa siku 90 kwa hospitali, taasisi kuweka miundombinu sahihi ya kuchoma taka

Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa siku 90 kwa Hospitali na taasisi zote za afya kuhakikisha wanaweka miundombinu sahihi ya kuhifadhi na kuteketeza taka zitokanazo na huduma ya afya kwa kuzingatia matakwa ya sheria ya…

Halmashauri Bagamoyo kujenga jengo la utawala litakalogharimu bil.6.2- DED Selenda

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Bagamoyo Halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo, inatarajia kujenga jengo la Utawala lenye gharofa mbili, eneo la Ukuni kata ya Dunda, Jengo ambalo litagharimu kiasi cha sh.bilioni 6.2 hadi kukamilika kwake. Ujenzi huo utakuwa wa awamu mbili…

DCEA yakamata kilo milioni moja dawa za kulevya

Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Dodoma Mamlaka ya Kudhibiti na Kupamba na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola imefanikisha kukamata jumla ya kilogramu milioni 1.96 za dawa za kulevya mwaka 2023. Katika ukamataji huo, watuhumiwa 10,522…

RC Serukamba awashauri waandishi wa habari kuandika habari zilizo na usahihi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Iringa Waandishi wa habari nchini wameshauriwa kuripoti habari zilizo sahihi ili kuepuka taharuki ikiwemo suala la kuripoti habari za dawa na vifaa tiba ambalo lipo chini ya Mamlaka ya dawa na vifaa tiba nchini (TMDA). Hayo…