JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Msajili wa Hazina akutana na boss wa mpya wa HESLB Dar

Msajili wa Hazina Nehemiah Mchechu (kulia), akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Dkt. Bill Kiwia (wa pili kushoto), katika kikao kilichofanyika Jijini Dar es Salaam. ………………….. Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu, amekutana…

TANROADS yaweka kambi barabara ya Morogoro- Iringa kuziba mashimo maeneo yaliyoharibiwa na mvua

Na Aisha Malima,JamhhuriMedia, Morogoro Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Morogoro inaendelea na kazi ya kuziba mashimo na kukarabati barabara kuu ya Morogoro – Iringa ikiwemo katika eneo la Kobogwa lilipo katika hifadhi ya Taifa ya Mikumi…

JKCI yaokoa milioni 600 upasuaji watoto 40

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dar es Salaam Jumla ya Sh milioni 600 zitaokolewa baada ya watoto 40 kufanyiwa kupasuaji wa moyo katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Shirika la Muntada Aid la nchini Uingereza. Gharama ya…

Tanzania yapasua anga huduma za mawasiliano

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Arusha Tanzania imekua na maendeleo makubwa ya huduma za mawasiliano kwa gharama nafuu mijini na vijijini kwa kufanikisha laini za simu milioni 72.5 Machi mwaka huu kutoka laini milioni 64.1 za Juni mwaka 2023 . Katika kipindi…