JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Waziri Ndumbaro apiga kura, apongeza utulivu na amani

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ameambatana na familia yake kupiga kura katika kituo namba moja cha Mjimwema A, eneo ambalo amekuwa akipigia kura kwa miaka mingi. Akizungumza mara baada ya kupiga kura,…

Hali ni shwari Pwani, wananchi waendelea kupigama kura kwa amani

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Alhaj Abubakar Kunenge, ameungana na wananchi wa mkoa huo katika zoezi la kupiga kura mapema oktoba 29,2025, akisisitiza hali ni shwari na ulinzi na usalama imeimarishwa. Aidha Kunenge ameeleza, wananchi…

Dk Samia : Serikali imefanya mageuzi makubwa ya kisheria na kurejesha imani kwa sekta binafsi

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema serikali yake imefanikiwa kufanya mageuzi makubwa ya kisheria na kimfumo yaliyolenga kujenga mazingira bora ya biashara na kurejesha imani…

Serikali yaihakikishia CWP uchaguzi huru, haki na wazi

Serikali imeihakikishia Timu ya Waangalizi ya Uchaguzi ya Wabunge-Wanawake kutoka Jumuiya ya Madola (CWP) kuwa Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani uliopangwa kufanyika Oktoba 29, 2025 utakuwa huru, haki na wazi. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Mambo…