Latest Posts
Zaidi ya watu milioni 14 wanaweza kufa kwa kukosa misaada
ZAIDI ya watu milioni 14 wanaoishi kwenye mazingira magumu zaidi duniani huenda wakafariki baada ya utawala wa Rais Donald Trump kupunguza misaada. Utafiti uliochapishwa leo na Jarida la tiba la Lancet unakadiria kuwa miongoni mwa watu hao, theluthi moja ni…
Rais Samia, Tume ya Umwagiliaji na Uchaguzi Mkuu
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, aDodoma Wiki iliyopita ilikuwa na mambo mengi. Nimepata fursa ya kuwa katika Ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati Rais Samia Suluhu Hassan anatoa hotuba ya kuvunja Bunge la 12, lililoanza mwaka 2020…
UDOM yatoa elimu ya ulaji bora kupunguza magonjwa yasiyoambukiza
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHUO Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeshiriki Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) kwa kutoa elimu ya ulaji bora kwa lengo la kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza. Akizungumza katika…
Iran yalaumiwa kwa vitisho dhidi ya IAEA
Mataifa ya Ufaransa, Ujerumani na Uingereza yamelaani vikali kile walichokiita vitisho vya Iran dhidi ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Kudhibiti Nishati ya Nyuklia (IAEA), Rafael Grossi. Hatahivyo,Tehran imetupilia mbali lawama hizo, ikisema inahofia usalama wa wakaguzi wa…
Amuua mchungaji kwa kuchoka kuombewa muda mrefu bila kupona, Polisi wamshikilia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara JESHI la Polisi mkoani Mtwara linamshikilia mkazi wa kijiji cha Lupaso kitongoji cha kadudu Wilaya ya Masasi mkoani humo Victor Fransis (39) kwa tuhuma za mauaji ya mchungaji wa Kanisa la Tanzania Assemblise of God…
Aliyekuwa mhasibu kituo cha afya Endagwe Babati afikishwa kizimbani kwa rushwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Babati Aliyekuwa Mhasibu Msaidizi wa Kituo cha Afya Endagwe wilayani Babati, Mohamed Twalib Baya, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Babati, Mkoa wa Manyara, kujibu mashtaka ya rushwa, uhujumu uchumi na kughushi nyaraka. Shauri hilo la…