JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Polisi waombwa kumkamata rais wa Korea Kusini

Ofisi ya Kupambana na Ufisadi wa Maafisa wa Ngazi za Juu ya Korea Kusini imeliomba jeshi la polisi kuchukuwa jukumu la kumtia nguvuni rais aliyendolewa madarakani na bunge, Yoon Suk Yeol. Ombi hilo ni baada ya maafisa wake kushindwa kumuweka…

Kongo yawanyonga watu 102

Wizara ya sheria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesema watu 102 wamenyongwa na wengine 70 wamepangiwa kupewa adhabu hiyo. Kwa mujibu wa taarifa ya wizara hiyo iliyotolewa jana, watu hao, wanaume wenye umri wa baina ya miaka 18 na…

Watu zaidi ya 100 wauawa kaskazini mwa Syria

Mapigano makali yameripotiwa kati ya vikosi vya Kikurdi na vikosi vinavyoungwa mkono na Uturuki kaskazini mwa Syria, ambapo zaidi ya watu 100 wameuawa ndani ya masaa 48 yaliyopita. Taarifa iliyotolewa jana na Shirika la Haki za Binaadamu la Syria imesema…

Rais Mwinyi afungua Skuli ya Sekondari Tumbatu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi ameifungua Skuli ya Kwanza ya Ghorofa Kisiwani Tumbatu iliyogharimu Shilingi Bilioni 7.015. Akizungumza na wananchi baada ya kuifungua Skuli hiyo ya Sekondari…

Tanzania mwenyeji mkutano wa nishati wa wakuu wa nchi a Afrika

📌 Mpango Mahsusi wa kuharakisha upatikanaji umeme kwa Waafrika milioni 300 (Mission 300) kusainiwa 📌 Kupitia Mission 300 Tanzania itaunganishia umeme wateja milioni 8.3 Tanzania inatarajia kuwa Mwenyeji wa Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati…