JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

DeepSeek AI, mapinduzi katika teknolojia na wasiwasi wa Marekani

Katika miaka ya hivi karibuni, teknolojia ya akili bandia (AI) imepiga hatua kubwa, na mojawapo ya maendeleo makubwa ni kuzinduliwa kwa DeepSeek AI. Hili ni jukwaa la AI kutoka China ambalo limeleta mapinduzi katika sekta ya teknolojia kwa kutoa huduma…

Mahujaji 15 wafariki kwenye mkanyagano India

Zaidi ya watu 15 wamefariki kwenye mkanyagano katika mkusanyiko mkubwa wa kidiniĀ  huku wengine wakijeruhiwa. Mahujaji wa kihindu walikuwa wakikimbilia mito mitakatifu kwa ajili ya ibada ya kujitakasa, waliwakanyaga watu waliokuwa wamekaa pembezoni mwa mito hiyo na kusababisha janga hilo….

20 wafariki baada ya ndege kuanguka Sudan Kusini

Ndege ndogo iliyokuwa ikibeba wafanyakazi wa kisima cha mafuta kilichopo Jimbo la Unity, Sudan Kusini, imeanguka na kuua watu 20. Waziri wa Habari wa Jimbo la Unity, Gatwech Bipal, amesema ndege hiyo ilianguka asubuhi jana Jumatano kwenye uwanja wa ndege…

M23 wasonga mbele, Papa atoa wito kusitishwa kwa mapigano Congo

Waasi wa M23 wameripotiwa kuendelea kusonga mbele kuelekea mji wa Bukavu, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, huku Rwanda ikionya kwamba kundi hilo linaweza kuchukua udhibiti wa maeneo mengine zaidi. Balozi wa Rwanda katika eneo la Maziwa Makuu, Vincent…

RC Sendiga amuapisha DC Mbulu

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga amemuapisha Michael Semindu kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbulu baada ya kuteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan Januari 25, 2025 kuwa mkuu wa wilaya hiyo. Hafla ya uapisho huo imefanyika katika ukumbi wa…

‘Walipa kodi Pwani watoa mapendekezo kupunguza utitiri wa kodi’

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Baadhi ya wadau walipa kodi Mkoani Pwani, wametoa mapendekezo kwa Serikali kusaidia kupunguza utitiri wa kodi na ushuru ili kulinda mitaji yao na kujipatia faida kulingana na biashara zao. Aidha, wameomba Serikali iweke mazingira bora…