JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Dk Biteko : Hatuna huruma tunabeba vyote

📌 Tunataka Tuoneshe Afrika na Dunia Tanzania ni Nchi ya Demokrasia 📌 Asema CCM Imejipanga Kushinda na Kuleta Maendeleo 📌 Asema CCM Inataka Ushindi wa Heshima Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye…

Gachagua: Ruto sasa tunakujua wewe ni mtu wa aina gani

Naibu Rais aliyetimuliwa madarakani nchini Kenya Rigathi Gachagua amedokeza kurejea kwa kishindo kisiasa Januari 2025 baada ya kufanya mashauriano na wakazi wa eneo la Mlima Kenya. Akizungumza wakati wa ibada ya kanisa mjini Murang’a siku ya Jumapili, Gachagua amesema kuwa…

Uandikishaji ada za bima wafikia asilimia 7.4 sawa na tilion 1.24 mwaka 2023

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMediaDar es Salaam MAMLAKA ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imefanikiwa kuwa na ongezeko uandikishaji wa ada za bima kwa kampuni za umma na binafsi kwa. asilimia 7.4 kutoka tilion Tsh 1.15 ,mwaka 2022 hadi kufikia tilion 1.24…

Wasanii 200 Songea wapata mafunzo uzalishaji filamu bora

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Bodi ya Filamu na Michezo ya Kuigiza Tanzania (TFB)  imeendesha mafunzo kwa wasanii 200 wa tasnia ya filamu wa manispaa hiyo ili kuwajengea uwezo wa kuzalisha filamu zenye ubora na zinazokidhi soko la ndani. Mafunzo…

Shambulizi la Israel Beirut laua watu 11

Mashambulizi ya anga ya Israel katikati mwa jiji la Beirut yamesababisha vifo vya takriban watu 11 na kuporomosha jengo la makazi huku Israel ikiendelea na kampeni yake ya anga dhidi ya Hezbollah. Shambulio hilo lilifuatiwa na mengine katika vitongoji vya…