Kairuki awataka machifu kuhimiza jamii kulinda miradi ya maendeleo

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Same Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Angellah Kairuki amewataka machifu ambao ni viongozi wa kimila kuhamasisha jamii kulinda miundombinu ya miradi ya maendeleo. Waziri Kairuki ametoa wito huo wakati akisimika machifu wa Kipare kwenye hafla iliyofanyika kwenye Kata ya Suji wilayani Same mkoani Kilimanjaro. Amesema…

Read More

KM 32 Wilyani Kyela kujengwa kwa lami

Serikali imesema itaendelea kutekeleza Sera yake ya kuunganisha mkoa kwa mkoa na wilaya kwa wilaya kwa barabara za lami ili kurahisisha usafiri na usafirishaji wa abiria, mazao na malighafi mbalimbali ili kukuza uchumi kwa haraka. Akizungumza wilayani Kyela wakati wa utiaji saini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Ibanda hadi Kajunjumele (KM 22), Kajunjumele hadi…

Read More

Ruvuma yakusanya mapato kwa asilimia 110

Mkoa wa Ruvuma umeweza kukusanya mapato kwa asilimia 110.8 katika mwaka 2021/2022.  Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema katika kipindi hicho Halmashauri zote nane zimeweza kukusanya mapato ya zaidi ya shilingi bilioni 21 kati ya lengo la kukusanya shilingi bilioni 19.33.   “Nitumie fursa hii kuwapongeza wakurugenzi kwa kusimamia vizuri ukusanyaji mapato,nawakumbusha wakurugenzi…

Read More