Latest Posts
Maria Sarungi ahusisha utekaji wake na ukosoaji wa Serikali ya Tanzania
Mwanaharakati maarufu wa Tanzania, Maria Sarungi, amehusisha tukio la kutekwa kwake nchini Kenya na msimamo wake wa kukosoa Serikali ya Tanzania. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Nairobi baada ya kuachiwa huru, Maria alidai kuwa watekaji wake walionyesha nia ya…
Idadi ya waliofariki kwa moto wa nyika Marekani yafikia 24
Idadi ya watu waliokufa kutokana na moto wa nyika ulioanza tangu Januari 7 huko Los Angeles Marekani imefikia 24. Mwishoni mwa juma wafanyakazi wa zimamoto walipata ahueni baada ya hali tulivu ya hewa. Mamlaka katika eneo hilo zimeonya kuwa moto…
Rais Samia aipongeza Zanzibar Heroes
Repost from @samia_suluhu_hassan Ninaipongeza Zanzibar Heroes kwa kufanikiwa kufika hatua ya fainali ya Mashindano ya Kombe la Mapinduzi. Mmejitoa, mmejituma na sote tunajivunia safari yenu hadi sasa. Mchezo huu wa fainali ni nafasi ya kipekee kwenu kuandika historia, nasi tuko…





