MATAMSHI YA TRUMP YASABABISHA BALOZI WAKE KUACHIA NGAZI PANAMA
Balozi wa Marekani nchini Panama amejiuzulu kwa sababu anasema kuwa hawezi tena kuhudumu chini ya utawala wa rais Trump. John Feely ,rubani wa ndege wa jeshi la wanamaji alisema kuwa ilikuwa na heshima kubwa kwake kujiuzulu. Idara ya maswala ya kigeni ambayo inasimamia mabalozi wa Marekani iligundua kwamba amejiuzulu baadaye mwezi Disemba. Kujiuzulu kwake hakukusababishwa…