Peter Msigwa Asema Wabunge wa CCM Wanampaka Mafuta kwa Mgongo wa Chupa Rais Magufuli

Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa, akichangia hoja katika mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya serikali 2018 / 2019 iliyowasilishwa Bungeni na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Philip Mpango, amemvaa waziri huyo wa fedha, na kumwambia kwamba alipoanza kuhutubia alianza kwa nadharia, na hakusikiliza kuhusu kodi ambazo ametoa zingeleta matatizo kwenye uchumi…

Read More