Tag archives for Jenista Mhagama

Habari za Kitaifa

WAZIRI JENISTA MHAGAMA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU KUJADILI JINSI YA UTEKELEZAJI WA SHERIA YA FIDIA KWA WAFANYAKAZI

SERIKALI ilianzisha Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi kwa lengo la kuhakikisha kuwa wafanyakazi wanapata mafao bora na stahiki ya fidia tofauti na sheria ya zamani iliyotoa viwango vya chini vya fidia, lakini pia kuwawezesha waajiri kupata muda zaidi kushughulikia masuala…
Soma zaidi...
Habari za Kitaifa

WAZIRI MHAGAMA: MUSWADA WA SHERIA YA MFUKO WA HIFADHI YA JAMII KUNUFAISHA WATUMISHI WA UMMA

. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza jambo wakati wa Mkutano wa Baraza Kuu la Taifa la Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU) uliofanyika…
Soma zaidi...
Habari za Kitaifa

MAAGIZO 5 YA WAZIRI MHAGAMA KWA PROGRAMU YA MIVARF KUOGEZA THAMANI YA BIASHARA ZA MIFUGO WILAYANI LONGIDO

Waziri wa Nchi Ofisi  ya Waziri Mkuu  (Sera, Bunge, Ajira ,Kazi,  Vijana na Watu wenye Ulemavu ) Mhagama ameielekeza Programu ya Miundo mbinu ya Masoko, Uongezaji wa Thamani na Huduma za Kifedha Vijijini (MIVARF), kuongeza Thamani Biashara za Mifugo wilayani…
Soma zaidi...
Show Buttons
Hide Buttons