Tag archives for Kufukuzwa Kocha
Borussia Dortmund Yamtimua Peter Bosz na Kumchukua Peter Stöger
Kocha aliyefukuzwa kazi Peter Bosz (Kushoto), na Kocha Aliyeajiliwa Peter Stöger(Kulia) Borussia Dortmund leo tarehe 10 Novemba 2017, imetangaza kumfukuza kazi kocha wake,Peter Bosz na kumuajili Peter Stöger. Peter Bosz amepoteza michezo 12 tangu ajiunge na klabu hiyo na kitu…