Liverpool Yaiadhibu Manchester City Kombe la UEFA

Michuano ya UEFA Champions League hatua ya robo fainali usiku wa April 4 2018 iliendelea tena kwa michezo miwili kupigwa, FC Barcelona wakiwa katika uwanja wao wa Nou Camp walicheza dhidi ya AS Roma wakati Liverpool walicheza na Man City katika dimba la Anfield. Game kati ya Liverpool dhidi ya Man City ndio ilikuwa inasubiriwa…

Read More