Magaidi Alexanda Kotey na El Shafee Elsheikh   Taarifa zinasema kuwa raia wawili wa Uingereza wanaodhaniwa kuwa wanachama wa kikundi cha wapiganaji wa Kiislam cha IS wanashikiliwa na kundi la wapigaji wa Kikurd. Alexanda Kotey mwenye umri wa miaka 34…
Soma zaidi...