Kocha wa Manchester United Jose Mourinho amesema kuwa anatakiwa apewe sifa kwa kumleta Chelsea mshambuliaji wa Misri mwenye umri wa 25 Mohamed Salah wakati alipokuwa mkufunzi wa Chelsea na sio kulaumiwa ya kumuuza mchezaji huyo katika klabu ya Roma 2016.…
Soma zaidi...