Tag archives for TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI)
TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) YAKABIDHIWA NA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI (MNH) WODI ILIYOPO NDANI YA JENGO LA WODI YA WATOTO
Mkurugenzi wa Idara ya Uuguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ) Agnes Mtawa akimkabidhi Mkurugenzi wa Idara ya Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Robert Mallya funguzo za baadhi ya wodi zilizopo ndani ya jengo la wodi…