Chama Cha Maofisa Uhusiano Chazinduliwa Dar
CHAMA Cha Maofisa Uhusiano wa Umma (PRST) kimezinduliwa jijini Dar es Salaam, ambapo maudhui makubwa ya kuundwa kwa umoja huo ni kutambulika rasmi kama taasisi na kupanuana mawazo ya utumishi miongoni mwa wanachama, ikiwa ni pamaoja na kuendesha shughuli zao kwa utaratibu maalum. Akihutubia katika uzinduzi huo, mgeni rasmi ambaye ni Katibu Mkuu Wizara ya…