WEMA: Jamaani Kule Nimeshindwa Sasa Narudi Nyumbani

“Siwezi Kuendelea kuishi kwenye Nyumba inayo nikosesha amani… Peace of mind is everything for me… Natangaza Rasmi kuondoka Chadema na Kurudi Nyumbani.” Maneno hayo yameandikwa na muigizaji Wema Sepetu kupitia ukurasa wake wa Instagram akitangaza uamuzi wake wa kuhama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM). Wema Sepetu ametangaza uamuzi…

Read More