Tag Archives: ZIARA YA WAZIRI MKUU

Wananchi wamkataa mkuu wa wilaya Kwimba

Taarifa iliyotolewa leo Februari 16, 2018 na ofisi ya waziri mkuu imeeleza kuwa wananchi hao wametoa kauli hiyo baada ya kuzuia msafara wa Majaliwa alipowasili katika ofisi za Halmashauri ya wilaya Kwimba kwa ajili ya kuzungumza na watumishi, akiwa katika ziara yake ya kikazi mkoani Mwanza. Wananchi wa wilaya ya Kwimba mkoani hapa wamemuomba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuondoka na ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons