JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: April 2019

NINA NDOTO (13)

Anza na ulichonacho, anzia hapo ulipo   Anza na ulichonacho. Anzia hapo ulipo. Kusubiri kila kitu kikae sawa ndipo uanze ni kuchelewesha ndoto zako. Kusubiri kila kitu kikamilike ni sawa na kusubiri meli kwenye kiwanja cha ndege. Muda sahihi wa…

Tuoteshe miti ya asili

Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema. Ni jambo la kushukuru sana. Wakati tulipopata uhuru mwaka 1961 nchi yetu iliitwa Tanganyika, lakini baada ya kuungana na Zanzibar Aprili 26, 1964 ikajulikana kama Tanzania. Kabla ya utawala wa Waingereza eneo la…

Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (8)

Wiki iliyopita niliahidi kujibu maswali haya: “Je, unafahamu utaratibu wa kisheria wa kusajili Jina la Biashara, gharama ya usajili, muda wa kukamilisha usajili, nyaraka zinazotakiwa, umri wa mtu anayetaka kusajili Jina la Biashara na matakwa mengine ya kisheria? Usikose nakala…

Ujira wa wafunga maturubai malori ya makaa ya mawe matatani

Vibarua wa kufunga maturubai mizigo ya makaa ya mawe kwenye malori wamevurugana na Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga baada ya halmashauri hiyo kujitwalia mamlaka ya kutunza fedha zao katika akaunti ya halmashauri. Kwa mujibu wa vibarua hao kutoka Kata ya…

TIC, halmashauri kuvutia wawekezaji

Utekelezaji wa sera ya taifa inayoelekeza halmashauri zote nchini kutenga rasmi maeneo maalumu ya ardhi kwa ajili ya uwekezaji katika kila halmashauri nchini bado unasuasua na kusababisha kero kwa wawekezaji wa nje na ndani. Sera hii ilikusudia kurahisisha upatikanaji wa…

Maswali ni mengi hukumu ya kifo kwa Mwalimu Respicius

Siku niliposikia Mahakama Kuu (Bukoba) imetoa hukumu ya kunyongwa hadi kufa kwa Mwalimu Respicius Patrick kwa kosa la kumuua mwanafunzi wa Shule ya Msingi Kibeta, Sperius Eradius, niliduwaa. Katika kuduwaa, nilianza kutafakari juu ya ndoto yangu hii ya kuwa mwalimu…