Month: June 2019
Ya AFCON, Taifa Stars na maagizo ya Rais Yoweri Museveni
Ukitaka kufahamu habari za mjini – mji wowote – muulize dereva wa teksi. Kwa kawaida ana taarifa nyingi na muhimu, na si ajabu kuwa hivyo. Anabeba abiria kila wakati na abiria kama ilivyo tabia ya binadamu yeyote, wana mdomo na…
Kuzuia mwanandoa kuuza ardhi ya familia
Kuna wakati katika maisha ya ndoa, mmoja wa wanandoa anaweza akataka kuuza au kubadili jina la nyumba ama kiwanja bila ridhaa ya mwenzake ilhali nyumba hiyo ni ya familia. Lakini pia nje ya hilo kuna mazingira ambayo mtu anaweza kuwa…
Uponyaji wa majeraha katika maisha
“Nina uwezo mkubwa mno wa kuyafanya maisha yawe ya uchungu au ya furaha. Nina uwezo wa kuwa chombo cha maumivu makali au chombo cha kuvutia, naweza kunyanyasa au kutia hamasa, kuumiza au kuponya. Kama tukiwatendea watu kadiri walivyo, tunawafanya wanakuwa…
Unabii wa kaka Rostam na mzee Kilomoni
Kutofautiana kimtazamo na mtu ambaye amekuwa mwajiri, kaka na rafiki yako, ni jambo linalohitaji roho ngumu. Lakini kwa kuwa tuko kwenye uwanja wa watani wa jadi, naomba leo nitofautiane kidogo na kaka yangu Rostam Aziz. Kabla ya kufanya hivyo, nitangaze…
Waziri Mkuu, Butiama inahujumiwa
Mheshimiwa Waziri Mkuu, naandika barua hii mahususi kwako kuhusu Kijiji cha Butiama ambako ndiko Makao Makuu ya Wilaya ya Butiama. Uamuzi wa kuifanya Butiama kuwa Makao Makuu ya Wilaya ya Butiama ni utekelezaji wa uamuzi wa kikao cha Halmashauri Kuu…
Demokrasia na haki za binadamu – (3)
Wazungu walipoasisi demokrasia wakaweka na misingi mitatu ya kanuni za demokrasia ambazo ni uhuru wa majadiliano, uhuru wa walio wengi kufikia uamuzi na uhuru wa utii wa uamuzi uliokubaliwa katika kikao. Kadhalika walipotoa tangazo la haki za binadamu wakaweka vifungu…