JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: August 2019

Niacheni niseme ukweli japo unagharimu

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla, amefuta leseni ya umiliki wa kitalu cha Lake Natron East kinachoendeshwa na Kampuni ya Green Mile Safaris (GMS). Kwenye maelezo yake hakuwa na mengi, isipokuwa amenukuu kifungu kwenye Sheria ya Wanyamapori Na….

BANDARI ZA TANZANIA

Lango kuu la biashara za SADC   BANDARI za Dar es Salaam, Tanga, Mtwara na nyinginezo nchini Tanzania ni lango kuu la biashara kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC); za Malawi, Zambia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya…

Ndugu Rais amani ya nchi yetu imetikiswa

Ndugu Rais, mwishoni mwa miaka ya 1960, tungali vijana rijali na wasomi wazuri, wahitimu wa ‘middle school’ shule ya kati, Rais Julius Nyerere alifanya ziara mkoani kwetu – wakati huo ukiitwa Mbeya. Wakati ule ukisema Rais Nyerere ilikuwa inatosha. Utaratibu…

Nane Nane darasa lenye wanafunzi wachache mno

Nimetembelea hivi karibuni maonyesho ya wakulima yaliyoadhimishwa kitaifa Nyakabindi, Simiyu, kilomita 20 kutoka Bariadi. Kwa miaka kadhaa nilidhamiria kuhudhuria maonyesho hayo baada ya kujitumbukiza kwenye kilimo, nikiamini ingekuwa sehemu muhimu ya kujiongezea elimu na maarifa kwenye shughuli ambayo sina uzoefu…

Hasara za kufanya biashara nje ya kampuni

Mfumo wa kufanya biashara wewe kama wewe ni wa zamani mno. Ukisoma hadithi zilizo ndani ya Kurani na Biblia utaona watu wa kale walitumia mfumo huu huu katika biashara zao ambao pia na wao waliukuta. Ni mfumo ambao umezeeka kiuchumi,…

MAISHA NI MTIHANI (41)

Mazoea ni shati lililotengenezwa kwa chuma   Mazoea ni mtihani. Mwanzoni mazoea ni kama utando wa buibui, baadaye ni kama nyaya ngumu. Mwanzoni mazoea ni kama shati la pamba, baadaye ni kama shati lililotengenezwa kwa chuma. Shati la namna hiyo…