Month: November 2019
Je, neno baharia lapata maana mpya?
Kitaalamu, lugha ni mfumo wa ishara za sauti za nasibu zilizochimbuka kiholela, baadaye zikakubalika kwa mawasiliano baina ya wanajumuia wa jamii moja. Ni chombo katika kuunganisha pande mbili kifikra, kielimu, kiujuzi na kadhalika. Ni mfumo unaotumika kwa utaratibu wa utii,…
Yah: EWURA simamia vituo kama TAKUKURU
Huwa ninakumbuka sana kauli ya rais wetu anapowatahadharisha watu kwamba hivi hawajui kuwa mambo yamebadilika? Na kuna wakati huwa ninajiuliza, hizi kampuni binafsi zinajua anamaanisha nini? Kama taifa inabidi tusimame pamoja na siku moja tuseme hapana, inatosha kwa mambo kadhaa…
Mafanikio katika akili yangu (6)
Katika toleo lililopita tuliishia katika aya isemayo: “Unasemaje?’’ aliuliza Mama Noel kisha yule mlevi ambaye alikuwa mteja wake, akamjibu: “Niachie ya elfu mbili.’’ Mama Noel alimkubalia kwa kuwa siku zote mteja ni mfalme. “Haya mimi ninakwenda,’’ alisema mteja huyo huku…
Ufanye nini mali ya wakfu inapotumika vibaya ?
Wakfu ni nini? Sheria ya Mirathi na Usimamizi wa Mali, Sura ya 352 ndiyo sheria inayoeleza masuala yote ya msingi kuhusu habari nzima ya wakfu. Kwa mujibu wa sheria hiyo, Kifungu cha 140, wakfu ni kutoa mali kulingana na sheria za Kiislamu …
SIR NATURE
Aliokota chuma chakavu kusaka ada “Baada ya dhiki faraja,” ni msemo ambao unaakisi maisha halisi ya msanii maarufu nchini kwa jina la kisanii ‘Sir Nature’. Msemo huu una maana sana kwa Sir Nature kutokana na madhila, majanga na misukosuko lukuki…
Adui mkubwa wa Simba huyu hapa
Karibu kila mwanachama wa Simba ambaye anaonekana kwenye runinga akizungumzia mustakabali wa timu hiyo, anakosa hoja nzito yenye mashiko. Kila anayemkaribia mwandishi wa habari wa kituo cha runinga anaizungumzia Simba kwa uchungu kwa sababu tu timu haijafikia lengo lililokusudiwa. Hajasikika…