JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Vyuo vikuu 15 nje ya nchi kufanya maonyesho  Arusha

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam VYUO 15 kutoka nje ya nchi vinatarajiwa kushiriki maonyesho yanatotarajiwa kufanyika siku ya Jumamosi jijini Arusha. Mkurugenzi wa Global Education Link (GEL), Abdulmalik Mollel, alisema jana kuwa walianza kufanya maonyesho Zanzibar kuanzia tarehe…

Utasa unavyogeuka laana kwa wanawake

Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Geita “Kila mwanadamu ameumbwa kwa kusudi maalumu la mwenyezi Mungu” msemo huu hutumiwa sana na baadhi ya watu wenye imani tofauti wakimsifu na kumtukuza Muumba wao kwa matendo makuu aliyowatendea katika dunia tuliyomo. Kuna watu wanafikiri…

Samia kusafiri kwa SGR Dar-Dodoma

RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kusafiri kwa treni ya reli ya kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma Agosti Mosi, mwaka huu. Mkuu wa Kitengo cha Habari na Uhusiano cha Shirika la Reli Tanzania (TRC), Jamila Mbarouk amesema Rais…

Tanzania kuwa mwenyeji mkutano wa kimataifa wa barabara

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha TANZANIA inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Kongamano la tisa la Kimataifa la Usafiri Endelevu na Ubunifu Bora ambao umeandaliwa na Chama cha Wataalamu wa Barabara (TARA). Mkutano huo utakaofanyika jijini Arusha wiki ijayo utafunguliwa na Waziri…

Msafara wa wachezaji wawasili Paris kushiriki Olympic

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kundi la kwanza la Timu ya Tanzania itayoshiriki Michezo ya Olimpiki nchini Ufaransa limewasili salama jijini Paris asubuhi ya jana. Kundi hilo la kwanza lina waogeleaji wawili, Sophia Anisa Latiff na Collins Phillip…

Meli yenye bendera ya Tanzania yazama Taiwan

Maafisa wa uokoaji nchini Taiwan wanatafuta meli ya mizigo iliyokuwa na wafanyakazi tisa ambayo imezama kwenye pwani yake ya kusini. Meli hiyo yenye bendera ya Tanzania ilikuwa imetoka katika bandari ya kusini ya mji wa Kaohsiung wakati Taiwan ilipokumbwa na…