JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Kafulila aipongeza CBE kwa ubunifu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KAMISHNA wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP), David Kafulila, amevitaka vyuo vya umma nchini kutumia sekta binafsi kujenga mabweni na miradi mbalimbali kwa ubia na sekta binafsi bila kutegemea…

Rais Mwinyi aipongeza Airpay uzinduzi mifumo ya kidijitali ya ZEEA

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Kampuni ya Airpay Tanzania kwa kudhamini Tamasha la pili la Fahari ya Zanzibar lililoandaliwa na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (ZEEA)…

Uchunguzi wa kisayansi umesaidia kuunganisha wahalifu na tuhuma zinazowakabili kiurahisi

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam JESHI la Polisi nchini limeungana na wadau wengine dunia katika maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya uchunguzi wa sayansi ya Jinai (Forensic Day) leo Septemba 20, 2024 katika Chuo cha Taaluma ya Polisi…

Wanachama wa CHADEMA, ACT- Wazalendo 62 wahamia CCM Kibaha Mji

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Wanachama wa vyama vya upinzani 62 Kibaha Mji, Mkoani Pwani wamejiunga na CCM na kuahidi kuwa waaminifu na kukisaidia Chama cha Mapinduzi kikamilifu katika Chaguzi zijazo. Vyama ambavyo wanachama hao wanatokea ni ACT WAZALENDO wanachama…

Dk Biteko aagiza Kigoma kuingizwa kwenye gridi kabla ya 2025

📌 Ataka TANESCO kuongeza kasi utekelezaji miradi ya umeme wa gridi 📌 Aagiza majenereta ya umeme wa mafuta Kigoma kuzimwa mwishoni mwa 2024 📌 Azindua ujenzi mradi wa umeme Malagarasi 49.5 MW 📌 Atoa neno kuhusu uchaguzi Serikali za Mitaa…