JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Watu 37 wahukumiwa kifo kwa jaribio la mapinduzi DRC

MAHAKAMA ya Kijeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo iliwahukumu kifo watu 37, wakiwemo raia watatu wa Marekani, baada ya kuwatia hatiani kwenye mashitaka ya kushiriki katika jaribio la mapinduzi. Akisoma hukumu hiyo siku ya juzi mjini Kinshasa, Jaji Meja…

Iran yawekewa vikwazo madai ya upelekaji makombora Urusi

Mataifa makubwa ya magahribi yametangaza orodha mpya ya vikwazo dhidi ya Iran wanayoituhumu kuipatia Urusi makombora ya masafa marefu ambayo inaaminika Moscow itayatumia dhidi ya Ukraine. Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zimetangaza kuifuta mikataba yote ya sekta ya anga na jamhuri…

Trump, Harris wapambana kwenye mdahalo

Wagombea wa urais wa Marekani, Kamala Harris wa chama cha Democratic na Donald Trump wa Republican wamepambana kwenye mdahalo wa televisheni usiku wa kuamkia leo kiasi miezi miwili kabla ya uchaguzi wa Novemba 5. Mdahalo huo wa kwanza baina yao…

Papa na imamu mkuu wa Indonesia watoa wito wa pamoja wa amani

Papa Francis ameonya dhidi ya kutumia dini kuchochea migogoro katika siku yake ya mwisho ya ziara yake nchini Indonesia, sehemu ya kwanza aliofika katika ziara yake ya kuzunguka eneo la Asia Pacific. Katika msikiti wa Istiqlal katika mji mkuu wa…

Mwanafunzi wa miaka 14 awaua wenzake kwa bunduki Marekani

Watu wanne wameuawa baada ya mwanafunzi mwenye umri wa miaka 14 kufyatua risasi katika shule ya sekondari huko Gerogia nchini Marekani.Waliouawa wametambulika kuwa ni wanafunzi wawili na walimu wawili. Watu wanne wameuawa baada ya mwanafunzi mwenye umri wa miaka 14…

Kiongozi wa upinzani Uganda ‘Bobi Wine’ kufanyiwa upasuaji

Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi Ssentamu maarufu Bobi Wine amepangwa kufanyiwa  upasuaji baada ya kudaiwa kupigwa risasi na askari Polisi. Taarifa zinasema Bobi Wine atafanyiwa upasuaji baadaa ya kujeruhiwa mguu katika tukio la vurugu lilitokea mjini Kampala. Wakili…