Category: Kimataifa
Balozi Sirro awasilisha hati za utambulisho
Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe,Simon Sirro amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe, Mhe. Emmerson Mnangagwa, Ikulu Zimbabwe. Julai 20, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alimteua aliyekuwa Mkuu wa…
Tanzania, Oman zainisha maeneo ya kushirikiana
Tanzania na Oman zimedhamiria kuchukua jitihada za makusudi kuimarisha ushikiano wa kiuchumi baina ya nchi hizo zenye uhusiano madhubuti wa kihistoria. Hayo yamebainishwa na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi hizo, Dkt. Stergomena L. Tax (Mb) na mwenyeji wake,…
Ubora wa bidhaa za wajasiriamali watia fora maonesho ya Juakali
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii,Wazee, Jinsia na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Riziki Pembe Juma ameeleza kuridhishwa na namna Wajasiriamali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wanavyoongeza viwango vya ubora na ubunifu katika huduma na bidhaa…
Wanaoshiriki ngono nje ya ndoa kufungwa jela Indonesia
Bunge la Indonesia linatarajiwa kupitisha sheria ya uhalifu mwezi huu itakayowaadhibu watu wanaoshiriki ngononje ya ndoa kwa kifungo cha hadi mwaka mmoja. Mwanasiasa nchini humo -Bambang Wuryanto, ambaye alihusika katika utungaji wa sheria hiyo, amesema kuwa inaweza kuidhinishwa wiki ijayo….