Category: Kimataifa
Joe Biden agunduliwa na saratani ya tezi dume
Rais wa zamani wa Marekani Joe Biden amepatikana anaugua saratani ya tezi dume. Inaripotiwa saratani hiyo imesambaa hadi kwenye mifupa yake. Rais wa zamani wa Marekani Joe Biden amegundulika kuwa na aina kali ya saratani ya tezi dume ambayo imesambaa…
Trump kuzungumza na Putin kuhusu kusitisha mapigano Ukraine
Rais wa Marekano Donald Trump anatarajiwa kuzungumza kwa njia ya simu mwenzake wa Urusi, Vladimir Putin, kuhusu usitishaji mapigani nchini Ukraine. Ni sehemu ya jitihada za muda mrefu kuvifikisha mwisho vita vya Ukraine. Viongozi wa Uingereza, Ufaransa, Ujerumani na Italia…
Umoja wa Mataifa watoa wito wa usitishwaji vita Gaza
KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito siku ya Jumamosi wa uwepo mpango wa mara moja na wa kudumu wa kusitisha vita katika Ukanda wa Gaza. Guterres ameitoa kauli hiyo alipohutubia mkutano wa kilele wa nchi za…
Mkuu wa Majeshi Uganda awatishia raia wanaompinga babake
Mkuu wa majeshi ya Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba amesema kuwa raia yeyote ambaye hatampigia kura baba yake katika uchaguzi mkuu ujao, atafukuzwa nchini humo. Mkuu wa majeshi ya Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba amesema kuwa raia yeyote ambaye hatampigia kura baba…
Zelenskiy agomea mazungumzo baada ya Putin kutotokea
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amegomea mazumgumzo ya amani yaliopangwa nchini Uturuki baada ya Rais wa Urusi Vladmir Putin kutojitokeza na badala yake viongozi hao wamewakilishwa na maafisa wa chini. Ametangaza kuwa hatashiriki mazungumzo ya amani yanayotarajiwa kufanyika leo mjini…
Rwanda: Kituo cha tiba ya bangi Rwanda mbioni kukamilika
Mradi wa Rwanda wa zao la bangi kwa ajili ya matibabu ya thamani ya Juu (HVTC) unapiga hatua kubwa, huku mradi wa miundombinu ya matibabu ya zao hilo ukiwa umekamilika kwa asilimia 83, kulingana na Bodi ya Maendeleo ya Rwanda…