Category: Kimataifa
Ukraine : Inafanya iwe vigumu vita kumalizika –
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema kuwa hatua ya Urusi kukataa kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano inatatiza juhudi za kumaliza vita. “Tunaona kwamba Urusi inakataa wito wa kusitishwa kwa mapigano na bado haijaamua ni lini itakomesha mauaji. Hii inafanya hali…
Marekani yaiwekea vikwazo DRC
Marekani imeliwekea vikwazo kundi lenye silaha nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo linalofanya kazi na serikali ya Kinshasa, chama cha ushirika cha uchimbaji madini nchini humo, na makampuni mawili ya Hong Kong, ikiwatuhumu kuchangia ukosefu wa usalama nchini DRC na…
Trump amuonya Putin
Rais wa Marekani Donald Trump ametishia kuchukua hatua kali dhidi ya Rais wa Urusi Vladimir Putin ikiwa hatokubali kumaliza vita nchini Ukraine. Rais wa Marekani Donald Trump ametishia kuchukua hatua kali dhidi ya Rais wa Urusi Vladimir Putin ikiwa hatokubali…
Rais Donald Trump aombwa kulinda usalama wa Ulaya
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamemuomba rais wa Marekani Donald Trump kulinda usalama wao katika mkutano wake wa kilele na Rais wa Urusi Vladimir Putin unaotarajiwa kufanyika baadae wiki hii kujadili vita vya Ukraine. Viongozi hao wanataka kuwa na ushawishi…
Israel : Uhusiano wetu na Ujerumani umeathirika
Israel imesema mahusiano yake na Ujerumani yameathirika kutokana na uamuzi wa Berlin kuzuia kuipelekea Tel Aviv sehemu ya silaha kwa hoja kuwa zinaweza kutumika kwenye Ukanda wa Gaza. Balozi wa Israel nchini Ujerumani, Ron Prosor, alisema uamuzi wa Berlin kusimamisha…
Wanamgambo RSF waua 40 Darfur
Watu 40 wameuawa na wengine 19 kujeruhiwa baada ya wanamgambo wa Kikosi cha Usaidizi wa Haraka (RSF) kushambulia kambi ya wakimbizi wa ndani ya Abu Shouk, iliyoko nje kidogo ya mji wa El-Fasher, Darfur Kaskazini mwa Sudan. Mashirika ya kijamii…





