JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Marekani yaidhinisha uuzaji wa ndege za kijeshi kwa UAE

Maafisa wa Marekani wamesema Wizara ya Mambo ya Nje imeidhinisha mauzo ya ndege za kijeshi na silaha zenye thamani ya dola bilioni 1.4 kwa UAE kuelekea ziara ya Rais Donald Trump wiki hii Mashariki ya Kati. Maafisa kutoka idara ya…

Marekani na China zakubaliana kupunguziana ushuru

Waziri wa Fedha wa Marekani Scott Bessent, ametangaza makubaliano ya ushuru wa forodha kati ya Marekani na China. Besented: Ushuru kushuka kwa 115% Bessent amesema baada ya majadiliano “madhubuti”, Marekani na Uchina zimekubaliana kusitisha ushuru uliopandishwa kwa siku 90 “kwa…

Papa Leo XIV atangaza sera za uongozi wake

KIONGOZI Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Leo XIV ametangaza Jumamosi sera za uongozi wake, huku akiitaja teknolojia ya akili mnemba kama moja ya changamoto kubwa kwa ulimwengu. Papa Leo alisema teknolojia hiyo ya akili mnemba (AI) inahatarisha harakati za…

Ukraine: Tupo tayari kusitisha mapigano kwa siku 30

Ukraine imesema iko tayari kwa usitishaji mapigano na Urusi kwa muda wa siku 30 kuanzia siku ya Jumatatu. Hayo yameelezwa na waziri wa mambo ya kigeni wa nchi hiyo Andrii Sybiha katika wakati viongozi wa mataifa manne ya Ulaya wako…

Papa Leo XIV apokelewa kwa matumaini Congo

Risala za pongezi bado zinaendelea kutolewa kutoka kote duniani baada ya Kanisa Katoliki kumchagua kiongozi wake mkuu – Leo XIV. Papa Leo wa 14 amechaguliwa wakati ambapo nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo imekosa usalama kwa miongo kadhaa sasa….

Trump anaitaka Urusi kusitisha vita kwa siku 30 na Ukraine

Rais wa Marekani Donald Trump ameishinikiza Urusi kukubali mpango wa usitishaji mapigano bila masharti kwa siku 30 na Ukraine. Amesema ukiukaji wowote wa mpango huo utaadhibiwa na vikwazo. Trump ameanzisha upya wito huo baada ya kuzungumza na Rais wa Ukraine…