Category: Kimataifa
Baadhi ya ardhi zitarudi kwa Ukraine – Trump
Wakati wa maelezo mafupi ya Rais wa Marekani Donald Trump kwa waandishi wa habari katika Ikulu ya White House hapo awali, tulimuuliza jinsi mipaka ya Ukraine inaweza kuonekana ikiwa vita vitaisha – Je ramani zingeonekana kama zilivyokuwa kabla ya 2014?…
Makanisa yatoa wito wa kusitishwa kwa mapigano Goma
Ujumbe wa makanisa ya Kikatoliki na Kiprotestanti umetoa wito wa kusitishwa mapigano mjini Goma wakati wa ziara ya viongozi wa waasi waliouteka mji huo mashariki mwa DRC. Askofu wa Kanisa Katoliki Donatien Nshole amesema makanisa yote mawili yameanza juhudi za…
Netanyahu atishia kurejesha mapigano
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ametishia kujitoa kwenye makubaliano ya kusitisha mapigano katika ukanda wa Gaza, akisema majeshi ya Israel yataanza tena mashambulizi dhidi ya Hamas ikiwa hawatarudisha mateka wa Israel kabla ya Jumamosi. Netanyahu alieleza kuwa, ikiwa Hamas…
Afrika Kusini yapeleka wanajeshi 800 Lubumbashi
Afrika Kusini imepeleka wanajeshi zaidi na zana za kivita nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ikiwa ni wiki chache tu baada ya askari wake 14 kuuawa kwenye mapigano na waasi wa M23 mashariki mwa nchi hiyo. Vyanzo kadhaa vya kisiasa…
Wanajeshi 84 DRC wapandishwa kizimbani kwa tuhuma za mauaji
Kesi ya wanajeshi 84 wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanaotuhumiwa kwa mauaji, ubakaji na uhalifu mwingine dhidi ya raia katika eneo lililokumbwa na vita mashariki mwa nchi hiyo imeanza kusikilizwa jana. Wanajeshi hao wanatuhumiwa kwa kuvunja nyumba za raia…
Netanyahu afika kizimbani kujibu mashtaka ya rushwa
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo amefika mbele ya mahakama mjini Tel Aviv kujibu mashtaka ya muda mrefu ya rushwa. Netanyahu aliwasili na timu yake ya mawakili inayoongozwa na Amit Hadad baada ya kuamriwa kutoa ushahidi katika mashtaka ya…