Category: Kimataifa
Watu 17 wauawa Goma na wengine 370 wamejeruhiwa
Mapigano katika mji uliozingirwa wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yamesababisha vifo vya takriban watu 17 na kuwajeruhi wengine 370. Jeshi la Kongo linaendelea kupambana na waasi wa M23 wanaoungwa mkono na jeshi la Rwanda. Raia watano…
Ufaransa yalaani shambulio la ubalozi wake Kinshasa
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa Jean-Noel Barrot amelaani shambulizi dhidi ya Ubalozi wa Ufaransa mjini Kinshasa na waandamanaji Jumanne asubuhi. “Mashambulizi haya hayakubaliki,” alisema katika chapisho kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), akiongeza kwamba waandamanaji “waliwasha moto ambao…
Ikulu ya Marekani imesitisha misaada na mikopo
Rais wa Marekani Donald Trump amesitisha misaada, mikopo na usaidizi mwingine kutoka Serikali Kuu ya shirikisho, kulingana na taarifa iliyovuja ya Serikali na kuthibitishwa na CBS News. Katika taarifa hiyo, kaimu mkuu wa Ofisi ya Usimamizi na Bajeti (OMB) anatoa…
Hali mjini Goma bado ni tete: UN
Waasi wa M23 wamesema wameukamata mji wa Goma mashariki mwa Kongo. Hakujawa na uthibitisho kutoka kwa jeshi la Kongo au serikali mjini Kinshasa kwamba mji huo mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini umekamatwa na waasi. Muungano wa waasi unaoongozwa na…
Mapigano yaanza tena mjini Goma, Mashariki mwa DRC
Goma, mji mkuu wa Kivu Kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, umekuwa ukikumbwa na hali ya taharuki na wasiwasi mkubwa baada ya kundi la waasi la M23, linaloripotiwa kupata msaada wa kijeshi kutoka Rwanda, kuingia katika mji huo….
Congo kuimarisha usalama Goma
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo inasema inajitahidi kuepusha mauaji mjini Goma, lakini haitaachia eneo lolote baada ya waasi wa M23 kudai kwamba wameuteka mji huo. Katika taarifa kwenye mtandao wa X, Waziri wa Mawasiliano Patrick Muyaya aliwataka watu…