Category: Kimataifa
Mkuu wa Majeshi Israel ajiuzulu
MKUU wa jeshi la Israel Meja jenerali Herzi Halevi amejiuzulu, kutokana na kushindwa kuzuia uvamizi wa kundi la wanamgambo la Kipalestina la Hamas uliofanyika Oktoba 7 mwaka 2023. Katika barua yake ya kujiuzulu Halevi amesema sababu kubwa iliyomfanya kujiuzulu kushindwa…
Trump kuwafuta kazi watu 1,000
Rais wa Marekani Donald Trump amepanga kuwaondoa kazini zaidi ya watu 1,000 walioteuliwa na utawala wa Rais wa zamani Joe Biden. Miongoni mwa watu watakaoondolewa kazini ni mpishi mashuhuri Jose Andres na jenerali mkuu wa zamani Mark Milley. “Ofisi yangu…
‘Jeshi na M23 wakiuka sheria ya vita’
SHIRIKA la kutetea haki za binadamu la Amnesty International lasema pande zote zinazohusika na vita nchini Kongo huenda zimekiuka sheria za vita kwa kuyashambulia maeneo yenye msongamano wa raia. Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema jeshi…
Trump atia saini agizo la kuiondoa Marekani WHO
RAIS wa Marekani Donald Trump ametia saini amri ya kuanza mchakato wa kuiondoa Marekani kuwa mwanachama wa Shirika la Afya Duniani (WHO). “Hili ni jambo kubwa,” rais mpya wa Marekani aliyeapishwa alisema alipokuwa akiidhinisha hati hiyo baada ya kurejea tena…
TikTok yarejesha huduma zake Marekani baada ya ahadi ya Trump
TikTok imerejesha huduma zake kwa watumiaji wake milioni 170 nchini Marekani baada ya Rais Mteule Donald Trump kusema atatoa agizo la kuipa programu hiyo ahueni atakapoingia madarakani rasmi hii leo. Jumamosi jioni, programu hiyo inayomilikiwa na Wachina ilisitisha huduma zake…
Trump aahidi kuwazuia wahamiaji kuingia Marekani
Donald Trump ameahidi kuchukua hatua kadhaa za kuzuia kile alichokiita “kuanguka kwa Marekani” mara tu atakapoapishwa rasmi kama rais wa nchi hiyo Jumatatu. Akiwahutubia wafuasi wake walioujaza uwanja wa michezo wa One Sports Arena huko Washington usiku wa kuamkia Jumatatu…