JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Rwanda yavunja uhusiano na Ubelgiji

Serikali ya Rwanda imetangaza kuvunja uhusiano wa kidiplomasia na Ubelgiji, ikidai kuwa Ubelgiji imekuwa ikiidhoofisha Rwanda wakati wa mzozo unaoendelea mashariki mwa DR Congo. Ubelgiji nayo imetangaza kuwafukuza wanadiplomasia wa Rwanda, na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ubelgiji, Maxime…

Nchi 43 kupigwa marufuku kusafiri Marekani

UTAWALA wa Rais wa Marekani Donald Trump umetoa pendekezo la kuweka marufuku mpya ya kusafiri kuingia nchini humo itakayowaathiri raia wa mataifa kadhaa kwa viwango vinavyotofautiana. Kulingana na gazeti la Marekani la New York Times lililowanukuu maafisa ambao hawakutajwa majina…

Marekani yamfukuza balozi wa Afrika Kusini kwa kumchukia Rais Trump

Marekani imemfukuza balozi wa Afrika Kusini Ebrahim Rasool. Waziri wa Mambo ya Nje Marco Rubio amesema balozi huyo ni mwanasiasa mbabe, haipendi Marekani na anamchukia Rais Donald Trump. Uhusano kati ya Marekani na Afrika Kusini umekuwa ukizorota tangu Trump alipokata…

Urusi yakubali kumaliza vita Ukraine

Rais wa Urusi, Vladimir Putin, amesema kuwa nchi yake iko tayari kusitisha mapigano na Ukraine, lakini anasisitiza kuwa suluhisho hilo lazima lilete amani ya kudumu na kushughulikia chanzo halisi cha mgogoro huo. Putin aliyasema hayo wakati wa mkutano na waandishi…

Ukraine yakubali pendekezo la usitishaji mapigano

Maafisa wa Marekani na Ukraine wamefanya mazungumzo ya usuluhishi wa mzozo kati ya Urusi na Ukraine mjini Jeddah, Saudi Arabia, katika juhudi za kusisitisha vita. Ukraine imelikaribisha pendekezo la Marekani la kusitisha mapigano kwa siku 30 katika vita na Urusi…

Masoko ya hisa ya kimataifa yaporomoka

Masoko ya hisa barani Asia yameshuka baada ya mauzo ya hisa nchini Marekani kupanda kutokana Rais Donald Trump kutotoa hakikisho kwamba ushuru wake unaweza kusababisha mdororo katika uchumi mkubwa zaidi duniani. Kuporomoka kwa hisa hizo kumefuatia maoni ya Trump kwamba…