JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Marekani yakamilisha mchakato wa kufuta miradi 5,200 ya USAID

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio amesema mchakato wa serikali ya Rais Donald Trump wa kusitisha misaada kupitia Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la USAID umekamilika. Kwenye mtandao wa X, Rubio amesema baada ya wiki sita za…

Papa ataendelea kubaki hospitali kwa matibabu

Madaktari wamesema Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis atasalia hospitalini kwa siku nyingine kadhaa. Taarifa iliyotolewa na Vatican jana Jumatatu ilisema papa Francis anaendelea vizuri na matibabu. Taarifa hiyo iliongeza Papa Francis licha ya kuonekana kupata nafuu siku chache zilizopita,…

Israel yasitisha usambazaji wa umeme katika Ukanda wa Gaza

Israel imesitisha usambazaji wa umeme katika Ukanda wa Gaza huku ikijaribu kuishinikiza Hamas kukubali kuongezwa muda wa awamu ya kwanza ya makubaliano ya kusitisha mapigano. Makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Hamas kimsingi yalimalizika mwishoni mwa wiki iliyopita….

‘Ulaya imeendelea kutegemea silaha kutoka Marekani’

Nchi za NATO barani Ulaya ziliongeza zaidi ya maradufu uagizaji wa silaha huku ikinunua zaidi ya asilimia 60 ya silaha za Marekani, hii ikiwa ni kulingana na ripoti ya Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti na Amani (SIPRI). Nchi za Ulaya…

Papa aendelea vizuri na matibabu

Papa Francis, ambaye amekuwa akiugua homa ya mapafu na mkamba kwa zaidi ya wiki tatu, aliwasifu wahudumu wa afya wanaomhudumia kwa uangalizi wao wa huruma. Kwa Jumapili ya nne mfululizo, papa wa Argentina hakuwepo kutoa baraka zake za kila wiki,…

Mashambulizi ya Urusi yaua watu 25 Ukraine

TAKRIBAN watu 25 wamefariki nchini Ukraine katika wimbi la hivi punde la mashambulizi ya Urusi, maafisa wa Ukraine wanasema, huku mzozo huo ukiwa hauonyeshi dalili zozote za kurudi nyuma. Shambulio moja katika Mkoa wa Donetsk liliua takriban watu 11 na…