JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Rais Ruto, Odinga watia saini mkataba wa kisiasa kwa ajili ya umoja wa taifa

Rais wa Kenya, William Ruto, na Kiongozi wa Upinzani, aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Raila Odinga, wametia saini rasmi mkataba wa kisiasa unaoashiria juhudi mpya za kushirikiana katika uongozi wa serikali moja. Mkataba huo, ambao umeunganisha chama tawala cha United Democratic…

Urusi imeshambulia Ukraine usiku kucha

Takriban watu wanane wameuawa katika mfululizo wa mashambulizi ya usiku yaliyofanywa na Urusi kote nchini Ukraine. Haya ndio tunayojua kufikia sasa:

Ufaransa kuipatia Ukraine silaha za nyuklia?

RAIS wa Ufaransa Emmanuel Macron amesema atajadiliana na viongozi wenzake wa Umoja wa Ulaya juu ya kuruhusu kutumiwa silaha zake za Nyuklia kuisadia Ukraine. Katika hotuba yake jana kwa taifa kiongozi Macron pia alizungumzia uwezekano wa kupelekwa wanajeshi wa mataifa…

Urusi yaipongeza Ukraine utayari kumaliza vita

Serikali ya Urusi imeipongeza taarifa ya Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky kuhusu utayari wake wa kuzungumza na Urusi ili kumaliza vita kati ya mataifa hayo mawili. Hata hivyo, Urusi imesema haijajua bado itazungumza na nani kuhusu mchakato huo. Kauli ya…

Canada yaiwekea vikwazo Rwanda

 Serikali ya Canada imetangaza vikwazo vya kiuchumi na kisiasa dhidi ya Rwanda, ikisema vikosi vyake vinasaidia kundi la M23 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Canada ilikosoa mauaji na mashambulizi dhidi ya raia, wakimbizi, na vikosi vya Umoja wa…

Papa Francis akumbwa na tatizo la kushindwa kupumua mara mbili

PAPA Francis yuko macho baada ya kukumbwa na matukio mawili ya ‘kushindwa kupumua’ siku ya Jumatatu alasiri, imesema Vatican. Madaktari walilazimika kuingilia kati ili kuondoa kamasi kwenye mapafu ya Papa, imesema taarifa kutoka serikali kuu ya Vatican ya Holy See,…