Category: Kimataifa
Ikulu ya Marekani imesitisha misaada na mikopo
Rais wa Marekani Donald Trump amesitisha misaada, mikopo na usaidizi mwingine kutoka Serikali Kuu ya shirikisho, kulingana na taarifa iliyovuja ya Serikali na kuthibitishwa na CBS News. Katika taarifa hiyo, kaimu mkuu wa Ofisi ya Usimamizi na Bajeti (OMB) anatoa…
Hali mjini Goma bado ni tete: UN
Waasi wa M23 wamesema wameukamata mji wa Goma mashariki mwa Kongo. Hakujawa na uthibitisho kutoka kwa jeshi la Kongo au serikali mjini Kinshasa kwamba mji huo mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini umekamatwa na waasi. Muungano wa waasi unaoongozwa na…
Mapigano yaanza tena mjini Goma, Mashariki mwa DRC
Goma, mji mkuu wa Kivu Kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, umekuwa ukikumbwa na hali ya taharuki na wasiwasi mkubwa baada ya kundi la waasi la M23, linaloripotiwa kupata msaada wa kijeshi kutoka Rwanda, kuingia katika mji huo….
Congo kuimarisha usalama Goma
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo inasema inajitahidi kuepusha mauaji mjini Goma, lakini haitaachia eneo lolote baada ya waasi wa M23 kudai kwamba wameuteka mji huo. Katika taarifa kwenye mtandao wa X, Waziri wa Mawasiliano Patrick Muyaya aliwataka watu…
UN kujadili hali ilivyo DRC
Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo inasema kikao cha pili cha Baraza la Usalama la ()UN kitafanyika kujadili mgogoro unaoendelea katika mkoa wake wa mashariki. Mkutano mpya ulioitishwa na viongozi wa Kongo unafuatia mapigano ya kundi la waasi la M23 huko…
Mpaka wa Kongo-Rwanda wafungwa baada ya M23 kuiteka Goma
Milipuko ya mizinga imeitikisa Goma Jumatatu, saa chache baada ya wanajeshi wa Rwanda na wapiganaji kundi la waasi la M23 kuingia mjini humo. Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusu mgogoro unaokaribia kutokea. Mpaka kati ya Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya…