Category: Kimataifa
DRC: M23 wadhibiti tena mji wa Kalembe, mashariki mwa nchi
Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda, wameuteka tena mji wa Kalembe, huko Kivu Kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Siku ya Jumapili, M23 walichukua udhibiti wa mji huo ulioko zaidi ya kilomita 150 magharibi mwa Goma, kabla…
Mtoto wa Museveni asema hakuna raia atakayekuwa rais wa Uganda
Mkuu wa Jeshi la Uganda, ambaye ni mtoto wa kiume wa Rais Yoweri Museveni, Generali Muhoozi Kainerugaba, amesema kwamba hakuna rais atakayeongoza Uganda na kwamba hilo ni jukumu la wanajeshi au Polisi. Muhoozi, ambaye amesema hatagombea urais katika uchaguzi mkuu…
Setilaiti iliyotengenezwa na Boeing yavunjika angani
Setilaiti ya mawasiliano iliyotengenezwa na kampuni kubwa ya vyombo vya angani ya Boeing imevunjika kwenye uzingo. Mwendeshaji satelaiti, Intelsat, amethibitisha “hasara ya jumla” ya iS-33e, ambayo imeathiri wateja katika maeneo ya Ulaya, Afrika na sehemu za eneo la Asia-Pasifiki. Intelsat…
Urusi yafanya mashambulizi usiku kucha mjini Kyiv Ukraine
Jeshi la Ukraine limesema kuwa kitengo chake cha ulinzi wa anga kimedungua droni 59 kati ya 116 zilizorushwa na Urusi usiku kucha. Jeshi hilo limeongeza kuwa lilipoteza mwelekeo wa droni 45 ambazo huenda zilianguka katika eneo lake. Jeshi hilo pia…
Marekeni yaendelea kuchunguza nyaraka za kijasusi zenye usiri mkubwa
Wachunguzi wa Marekani wanaendelea kuchunguza uvujaji wa nyaraka mbili za kijasusi zenye usiri mkubwa mtandaoni. Nyaraka hizo zilionekana kwenye Telegram na zinadaiwa kuwa na tathmini ya mipango ya Israel kuishambulia Iran. Uvujaji huu umeleta taharuki kwa maafisa wa Marekani. Nyaraka…
Gachagua – Mimi na familia yangu tupo hatarini
Aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya amedai kuwa, Ruto hakuwa na nia ya kufanya kazi nami na alitaka tu kunitumia kupata watu kushinda uchaguzi”, ameambia wanahabari. Gachagua amezungumza hayo akiwa anatoka katika Hospitali ya Karen alipokuwa anatibiwa. Rigathi Gachagua ameendelea kudai…