Category: Kimataifa
20 wafariki baada ya ndege kuanguka Sudan Kusini
Ndege ndogo iliyokuwa ikibeba wafanyakazi wa kisima cha mafuta kilichopo Jimbo la Unity, Sudan Kusini, imeanguka na kuua watu 20. Waziri wa Habari wa Jimbo la Unity, Gatwech Bipal, amesema ndege hiyo ilianguka asubuhi jana Jumatano kwenye uwanja wa ndege…
M23 wasonga mbele, Papa atoa wito kusitishwa kwa mapigano Congo
Waasi wa M23 wameripotiwa kuendelea kusonga mbele kuelekea mji wa Bukavu, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, huku Rwanda ikionya kwamba kundi hilo linaweza kuchukua udhibiti wa maeneo mengine zaidi. Balozi wa Rwanda katika eneo la Maziwa Makuu, Vincent…
Watu 17 wauawa Goma na wengine 370 wamejeruhiwa
Mapigano katika mji uliozingirwa wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yamesababisha vifo vya takriban watu 17 na kuwajeruhi wengine 370. Jeshi la Kongo linaendelea kupambana na waasi wa M23 wanaoungwa mkono na jeshi la Rwanda. Raia watano…
Ufaransa yalaani shambulio la ubalozi wake Kinshasa
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa Jean-Noel Barrot amelaani shambulizi dhidi ya Ubalozi wa Ufaransa mjini Kinshasa na waandamanaji Jumanne asubuhi. “Mashambulizi haya hayakubaliki,” alisema katika chapisho kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), akiongeza kwamba waandamanaji “waliwasha moto ambao…
Ikulu ya Marekani imesitisha misaada na mikopo
Rais wa Marekani Donald Trump amesitisha misaada, mikopo na usaidizi mwingine kutoka Serikali Kuu ya shirikisho, kulingana na taarifa iliyovuja ya Serikali na kuthibitishwa na CBS News. Katika taarifa hiyo, kaimu mkuu wa Ofisi ya Usimamizi na Bajeti (OMB) anatoa…
Hali mjini Goma bado ni tete: UN
Waasi wa M23 wamesema wameukamata mji wa Goma mashariki mwa Kongo. Hakujawa na uthibitisho kutoka kwa jeshi la Kongo au serikali mjini Kinshasa kwamba mji huo mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini umekamatwa na waasi. Muungano wa waasi unaoongozwa na…





