JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Urusi yadaiwa kuwauwa wafungwa wa kivita wa Ukraine

Waziri wa mambo ya nje wa Ukraine Andrii Sybiha ametoa wito wa msaada kutoka kwa jamii ya kimataifa kufuatia ripoti za madai kwamba wanajeshi wa Urusi wanawapiga risasi wafungwa wa kivita wa Ukraine. Katika ujumbe kupitia mtandao wa kijamii wa…

Marekani yashambulia ngome za IS Syria

Vikosi vya Marekani vimefanya mashambulizi ya anga katika maeneo kadhaa yanayotajwa kuwa ngome za kundi linalojiita dola la Kiislamu ISIS nchini Syria, kulingana na Kamandi Kuu ya jeshi la Marekani kupitia mtandao wa X. Ripoti hiyo imebainisha kuwa mashambulizi hayo…

Takribani watu 29 wauawa Gaza

TAKRIBAN watu 29 wameuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel katika eneo la kati na kaskazini mwa Ukanda wa Gaza Jumamosi na usiku kucha, Shirika la habari la Reuters linaripoti likiwanukuu madaktari. Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) lilianza mashambulizi…

Hezbollah yatoa onyo kali kwa Israel kufuatia ongezeko la mashambulizi

Kundi la Hezbollah limetoa onyo kali kwa Waisraeli kuwataka wakae mbali na maeneo ya kijeshi kaskazini mwa Israel, hatua ambayo inalenga kuokoa maisha yao kutokana na mashambulizi yanayoendelea. Onyo hilo limekuja baada ya kuongezeka kwa mashambulizi ya Hezbollah katika eneo…

Kesi ya P Didy kuanza kusikilizwa mwaka 2025

Kesi ya rapa maarufu nchini Marekani Sean Comns maarufu kama P DIDDY imeamriwa kuanza kusikilizwa mwezi Mei 2025, kufuatia uamuzi wa mahakama katika kikao kilichohudhuriwa na P Diddy siku ya Alhamisi. P Diddy, akiwa amevalia sare ya gereza, aliketi kando…

Wanawake 200 Afrika hufanya kazi kiwanda cha droni Urusi zinazotumila kuishambulia Ukraine

Karibu wanawake 200 wenye miaka 18-22 kutoka barani Afrika, wamekuwa wakisajiliwa kwenda kufanya kazi Urusi, katika kiwanda kinachohusika kuunda maelfu ya droni za Iran zinazotumika kuishambulia Ukraine. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti maalumu iliyotolewa na shirika la habari la…