Mahakama ya Liberia Yaruhusu Uchaguzi Kurudiwa Duru ya Pili

Mahakama kuu ya Liberia imesema kuwa ushahidi wa vitendo visivyokubalika katika uchaguzi wa Rais duru ya kwanza mwezi Oktoba hautoshi kuufanya uchaguzi kurudiwa. Hii inamaanisha kuwa mzunguko wa mwisho wa uchaguzi kati ya wagombea wawili waliokuwa wakiongoza yaani George Weah na Makamu wa Rais Joseph Boakai unaruhusiwa kuendelea. Sasa inasubiriwa tume ya uchaguzi kuweka na…

Read More