JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Rubani afariki dunia baada ya helikopta kuanguka juu ya hoteli Australia

Rubani mmoja amefariki baada ya helikopta kuanguka kwenye paa la hoteli moja katika mji wa Cairns kaskazini mwa Queensland. Ndege hiyo ilianguka kwenye hoteli ya DoubleTree mwendo wa 01:50 usiku kwa saa za eneo hilo siku ya Jumatatu, na kuwaka…

Miili yote 62 yapatikana katika ajali ya ndege ya Brazil

Miili yote imepatikana katika eneo la ajali ya ndege katika jimbo la São Paulo nchini Brazil na kusababisha vifo vya watu wote waliokuwa ndani ya ndege hiyo, mamlaka imethibitisha. Timu zilikuwa zikifanya kazi kutafuta na kutambua waathirika wa janga hilo…

Rais wa Tunisia amfuta kazi waziri mkuu

Rais Kais Saied wa Tunisia amemfuta kazi waziri mkuu wake, Ahmed Hachani, bila kutoa maelezo yoyote na badala yake kumteuwa waziri wake wa masuala ya kijamii, Kamel Madouri, kuchukuwa wadhifa huo. Kupitia mitandao ya kijamii cha ofisi yake, Saied anaonekana…

Uturuki kujiunga kesi ya mauaji ya kimbari dhidi ya Israel

Uturuki itawasilisha maombi kwenye mahakama ya Umoja wa Mataifa ya kujiunga katika kuishtaki Israel kwa mauaji ya kimbari. Mashtaka hayo yaliwasilishwa na Afrika Kusini. Uturuki ni miongoni mwa nchi zilizojiunga hivi karibuni ili kushiriki katika kesi hiyo. Rais wa Uturuki,…

Marekani yakamilisha kujiondoa kijeshi Niger

Marekani imekabidhi kambi yake ya mwisho ya kijeshi kwa mamlaka ya Niger. Kambi hiyo ilikuwa mojawapo ya vituo viwili muhimu vya Marekani katika mapambano yake ya kukabiliana na ugaidi. Wizara za Ulinzi za Marekani na Niger zilitangaza kwenye taarifa ya…

Jeshi laanza rasmi jukumu la kuiongoza kwa muda Bangladesh

JESHI la Bangladesh limechukuwa rasmi udhibiti wa nchi Jumanne, baada ya maandamano makubwa ya umma kumlazimisha mtawala wa muda mrefu wa taifa hilo kujiuzulu na kukimbilia uhamishoni Rais wa Bangladesh Mohammed Shahabuddin tayari amelivunja bunge katika utekelezaji wa hatua ambayo…