Category: Kimataifa
Watu karibu 100 wafa maandamano ya Bangladesh
TAKRIBAN watu 100 wameuawa na mamia ya wengine kujeruhiwa jana Jumapili wakati wimbi jipya la maandamano dhidi ya serikali likizidi kuenea kote nchini Bangladesh. Waandamanaji wanamshinikiza waziri mkuu Sheikh Hasina ajiuzulu huku kiongozi huyo akiwashutumu waandamanaji kwa hujuma na kukata…
Haniyeh wa Hamas kuzikwa leo Qatar
Qatar leo inatarajiwa kufanya mazishi ya kiongozi wa Hamas, Ismail Haniyeh, baada ya mauaji yake huko Tehran, katika shambulizi linalodaiwa kufanywa na Israel, jambo lililosababisha hatari ya kuenea kwa machafuko. Haniyeh atazikwa katika maziara ya Lusail, kaskazini mwa Doha baada…
Iran yaapa kulipiza kisasi kufuatia mauaji ya kiongozi wa kisiasa wa Hamas Haniyeh
Rais wa Irani Masoud Pezeshkian anasema ataifanya Israel “ijutie” mauaji ya “uoga” ya Haniyeh, akiongeza kuwa Iran “italinda hadhi ya eneo lake, fahari ya heshima na utu”. Katika taarifa iliyonukuliwa na shirika la habari la AFP, rais wa Iran alimtaja…
DRC Congo na Rwanda kumaliza mapigano
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa DRC Congo na Rwanda wamekubaliana kuanza mazungumzo ya kurejesha amani Mashariki mwa DRC Congo. Uamuzi huu umekuja baada ya kufanyika kikao maalum huko Luanda nchini Angola kilichohudhuriwa na wawakilishi wa pande hizo mbili Thérèse…
Ismail Haniyeh alikuwa nani?
Alizaliwa katika kambi ya wakimbizi huko Gaza mwaka 1963, Ismail Haniyeh alikuwa mwanachama muhimu wa Hamas tangu kuanzishwa kwake. Alifungwa na Israel mara kadhaa na wakati fulani alifukuzwa kwenda kuishi Lebanon kusini kwa miezi sita. Mnamo 2003, alinusurika jaribio la…
Kiongozi wa Hamas Ismail Haniyeh auawa
KIONGOZI wa kisiasa wa kundi la Hamas la Palestina Ismail Haniyeh ameuwa katika mji mkuu wa Iran, Tehran, vyombo vya Habari vya serikali ya Iran vimesema. Hamas imesema Haniyeh ameuawa katika shambulio la Israel kwenye makazi yake baada ya kuhudhuria…