Category: Kimataifa
Obama amuunga mkono Kamala Harris kuwa rais
Barack Obama amemuunga mkono Makamu wa Rais Kamala Harris kuwa mgombea urais wa chama cha Democratic, na hivyo kumaliza uvumi kuhusu iwapo angemuunga mkono. Rais wa zamani Obama na aliyekuwa Mama wa Taifa Michelle Obama walisema katika taarifa ya pamoja…
Iraq: Roketi zafyatuliwa kuelekea kambi ya jeshi la Marekani
Maafisa wa usalama wamesema roketi kadhaa zimefyetuliwa kuelekea kambi ya muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani nchini Iraq. Duru za usalama za Iraq zimeeleza kuwa roketi nne zimeanguka karibu na kambi ya jeshi ya Ain al-Assad iliyoko mkoa wa Anbar….
Meli yenye bendera ya Tanzania yazama Taiwan
Maafisa wa uokoaji nchini Taiwan wanatafuta meli ya mizigo iliyokuwa na wafanyakazi tisa ambayo imezama kwenye pwani yake ya kusini. Meli hiyo yenye bendera ya Tanzania ilikuwa imetoka katika bandari ya kusini ya mji wa Kaohsiung wakati Taiwan ilipokumbwa na…
WHO ina wasiwasi wa kuzuka mripuko wa ugonjwa wa polio Gaza
Afisa wa ngazi ya juu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ameonesha wasiwasi juu ya uwezekano wa miripuko katika Gaza iliyokumbwa na vita baada ya virusi vya ugonjwa wa kupooza kugunduliwa kwenye maji taka Ayadil Saparbekov, ambae ni mkuu wa…
Democratic waonekana kumuunga mkono Harris
Makamu wa Rais,Kamala Harris ameonekana kuungwa mkono na wajumbe wa kutosha wa Chama cha Democratic kuteuliwa kuwa mgombea wa urais wa chama hicho. Utafiti uliofanywa na Shirika la Habari la Associated Press umegunduakuwa zaidi ya wajumbe 1,976 wako tayari kupiga…
Uchaguzi wa Marekani 2024, Trump sasa ndiye mteule
Mengi yamefanywa kuhusu umri wa Joe Biden na Donald Trump na jinsi wapiga kura wanavyowaangalia Mtazamo huo ulikuwa zaidi kwa Biden mwenye umri wa miaka 81 ambaye kashfa, mashaka na makosa yake yyalikuwa gumzo – hasa katika wiki baaya mjadala…