Category: Kimataifa
Biden: Marekani haiungi mkono shambulio la Israeli
Rais wa Marekani Joe Biden amesema kuwa haungi mkono shambulio katika maeneo ya nyuklia ya Iran kufuatia mashambulizi ya makombora ya masafa ya Iran dhidi ya Israel na kuitaka Israel kuchukua hatua ” sawia” dhidi ya adui yake mkuu wa…
Iran yatishia kushambulia miundombinu yote ya Israeli
Mkuu wa majeshi ya Iran Meja Jenerali Mohammad Bagheri ametishia kulenga miundombinu ya Israel, ikiwa itachukua hatua zozote za kulipiza kisasi dhidi ya Tehran. “Ikiwa [Israeli]… inataka kuendeleza uhalifu huu au inataka kufanya lolote dhidi ya mamlaka yetu na uadilifu…
WHO: Afrika ina barabara, gari chache lakini ajali nyingi
SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Afya (WHO) linasema ingawa Afrika ina barabara na magari machache zaidi kuliko kanda nyingine, ndiyo yenye idadi kubwa kabisa ya vifo vya ajali za barabarani. Ripoti hiyo ya hivi karibuni ya WHO inasema ajali…
Iran yaishambulia Israel kwa makombora 180
Iran imeishambulia Israel kwa makombora kadhaa na kuongeza joto katika mzozo wa miezi kadhaa baina ya Israel na makundi yanayoungwa mkono na Iran ya Hamas na Hezbollah. Msemaji wa jeshi la Israel Daniel Hagari amesema shambulizi la makombora kiasi 180…
Russia yaongeza ukubwa wa jeshi lake hadi milioni 1.5 kwenye mipaka yake
Rais Vladimir Putin alisaini amri Jumatatu kuongeza idadi ya wanajeshi wa kazi kwa 180,000 hadi milioni 1.5, na kufanya jeshi la Russia kuwa la pili kwa ukubwa duniani kwa idadi ya wanajeshi wa kazi, kulingana na vyombo vya habari vya…
Urusi yaushambulia mji wa Kiev kwa droni
DURU ya usalama ya Ukraine imesema droni 120 zimeruka zaidi ya kilometa 600 kulilenga ghala la silaha ndani ya Urusi. Urusi imefanya shambulizi la droni mapema leo katika mji mkuu wa Ukraine, Kiev huku vitengo vyote vya mifumo ya ulinzi…