Category: Kimataifa
Rais wa Sudan Kusini amfukuza kazi waziri wa fedha
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir amemfukuza kazi Waziri wa Fedha Awow Daniel Chuong ambae amehudumu katika nafasi hiyo kwa kipindi cha miezi minne, huku sababu za uwamuzi huo hazikuwekwa hadharani. Katika miaka ya hivi karibuni, Uchumi wa Sudan Kusini…
Biden aendelea kushinikizwa asiwanie
Rais Joe Biden anaendelea kukabiliwa na wito wa kujitoa kwenye kinyang’anyiro cha urais na kumpisha mgombea mwengine wa chama chake kupambana na Donald Trump kwenye uchaguzi wa Novemba mwaka huu. Magavana na wabunge kadhaa wa chama chake wanangoja mahojiano ya…
Huzuni, hasira baada ya watu 121 kupoteza maisha kutokana na mkanyagano India
Siku moja baada ya watu 121 kukanyagana hadi kufa katika hafla ya kidini katika jimbo la kaskazini mwa India la Uttar Pradesh, familia za baadhi ya waathiriwa bado zinawatafuta wapendwa wao. Tukio hilo lilitokea wakati wa satsang (tamasha ya kidini…
Wanajeshi 25 wahukumiwa kifo Kongo
Wanajeshi 25 waliotiwa hatiani kwa kumkimbia adui wakati wa mapigano na kundi la waasi la M23 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamehukumiwa kifo kwenye kesi iliyofanyika jana huko Kivu Kaskazini. Kwa mujibu wa mawakili wao, kesi hiyo iliwajumuisha…
Daraja la kilomita 24 lafunguliwa China
Hatimaye China imefungua daraja lake linalopita baharini la kilomita 24 likiunganisha mji wa Shenzhen na Zhongshan katika Mkoa wa Guangdong, kusini mwa taifa hilo. Daraja hilo linaanzia kwenye makutano ya uwanja wa ndege wa Shenzhen na kuungana na Kisiwa cha Ma’anshan…
Serikali mpya ya muungano ya Afrika Kusini yatangazwa
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ametangaza serikali mpya ya mseto, baada ya chama chake tawala cha African National Congress (ANC) kupoteza wingi wa wabunge katika uchaguzi wa mwezi Mei. Alisema “serikali ya umoja wa kitaifa… haijawahi kutokea katika historia…