Category: MCHANGANYIKO
Sheikh Ponda ajiunga rasmi na ACT -Wazalendo, alilia Utawala Bora na Katiba Mpya
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, amejiunga rasmi na Chama cha ACT Wazalendo ambapo amesema hatua yake ya kujiunga na chama cha siasa inalenga kupata jukwaa la…
Wazee wamshukuru Rais Samia kuboresha huduma kwa ustawi wao
Na WMJJWM-Dodoma Wazee wameshukuru Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuweka mazingira mazuri katika utoaji wa huduma za Afya kwa wazee na masuala mengine ya Ustawi wao. Kauli hiyo imetolewa na Kiongozi Mkuu…
CCM London Diaspora watembelea Baraza la Wawakilishi Zanzibar
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar WAJUMBE Chama Cha Mapinduzi CCM Tawi la London Diaspora la Nchini Uingereza wametembelea Baraza la Wawakilishi Zanzibar na kushuhudia shughuli za Baraza hilo ikiwemo uwasilishwaji wa miswada mbali mbali. Wajumbe hao, wakiwa chini ya uongozi…