JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Watoto watatu wa familia moja wafariki kwa ajali ya moto Kibaha

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Watoto watatu wa familia moja, wamefariki dunia baada ya moto mkubwa kuteketeza sehemu ya juu ya nyumba ya ghorofa iliyopo mtaa wa Kitende kwa Mfipa, Kibaha, mkoani Pwani. Tukio hilo limetokea Oktoba 1, 2025 majira…

BOT, wadau kimataifa waipongeza Benki ya CRDB mageuzi ya mfumo nkuu

BOT, Wadau Kimataifa waipongeza Benki ya CRDB Mageuzi ya Mfumo Mkuu Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba, amepongeza mageuzi ya kihistoria yaliyofanywa na Benki ya CRDB katika mfumo wake mkuu…

Makonda: Samia amefanya makubwa

Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Media, Arusha Mgombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Paul Makonda (CCM),amesema kazi kubwa iliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan imeacha matokeo chanya. Makonda ametoa kauli hiyo alipopewa nafasi ya kusamilia wananchi wa mkoa wa Arusha…

Dk Samia awasili uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha mkoani Arusha leo Oktoba 2, 2025, ambapo amepokelewa na mapokezi makubwa…

Awashauri watumishi kufanyakazi kwa ufanisi na kuwa wabunifu

Na OWM KVAU Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Bi. Mary Maganga amewataka Watumishi wa Ofisi hiyo kuendelea kufanya kazi kwa ufanisi ili kuongeza tija katika utoaji huduma kwa wananchi. Bi. Mary amebainisha hayo…